Zinazobamba

FREEMAN MBOWE AINGIA MIKONONI MWA POLISI,SOMA HAPO KUJUA



Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe  amekamatwa  na Jeshi la Polisi ili kuhojiwa kuhusiana na tuhuma za madawa ya kulevya.

Taarifa za kukamatwa kwa Mbowe zimethibitishwa na Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro

Msemaji wa CHADEMA Boniface Makene,amesema Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.