Zinazobamba

MANJ AINUNUA RASMI KAMPUNI YA TIGO


HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Bw. Yusuph Manji ameinunua rasmi kampuni ya mawasiliano ya Tigo.

Manji ameinunua Kampuni hiyo ambayo imeweza kushika soko la mawasiliano kwa Jiji la Dar es Salaam hadi kushika nafasi ya kwanza, sasa kampuni ni rasmi ya Manji.