HABARI KUBWA LEO,DC MAKONDA NA MBOWE WAMALIZA MGOMOWA MADAREVA,MBOWE AMFUNDISHA KAZI PINDA,SOMA HAPO KUJUA
Add caption |
Add caption |
PICHANI NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRSIA NA MAENDELEO
FREEMAN BOWE AKIZUNGUMZA NA MADEREVA MBALIMBALI UBUNGO LEO HUKU AKISHANGILIWA
MITHILI YA SHUJAA
EXAUD MTEI WA HABARI24.BLOGS NA KAROLI VINSENT
Mwenyekiti wa
chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA mh FREMAN MBOWE amewasili leo katika
stend ya mabas ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa wakiendeah mgomo wa
kuwataka serikali iwasikilize shida zao.mh Mbowe ambaye aliwasili hapa majira
ya saa nne kasoroo asubuhi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi
kumshangilia kwa nguvu huku wengine wakifuta barabara ili gari yake ipite huku
nyimbo zza ukawa zikiimbwa,jambo ambalo lilizua taharuki katika eneo hilo.Mh
mbowe alipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wa madereva hao.aidha viongozi
kadhaa wa serikali waliokuwa katika eneo hilo walionekana kuzomewa na
kutokuaminika na madereva hao.
Kuhusu mgomo huo Mkuu wa wilaya ya kinondoni mh PAUL MAKONDA amewaomba madereva hao kuendelea na kazi na ndani ya siku saba serikali itakua tayari imeshatoa tamko.
Madereva hao wamekubali kuanza safari kwa sharti la ndani ya siku saba wawe wamesikilizwa kero zao.MH MBOWE alipotaka kuzngumza na madereva hao microfone zote zilizimwa na kufichwa kusikojulikana jambo ambalo lilifanya ashindwe kusikika kwa madereva hao na kuamua kumtoa nje na kusukuma gari yake hadi maeneo ya shekilango na kurudi opfisini.Taarifa ni kuwa mgomo huo umekwishwa na magari hapa ubungo yameanza kutoka.

No comments
Post a Comment