KAMANDA MBOWE AJITOSA KWENYE MGOMO WA MADEREVA,APOKELEWA KWA SHANGWE KUBWA,SOMA HAPO KUJUA
Kiongozi wa kambi ya Upinzani bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amewasili kituo cha mabasi Ubungo na kupokelewa kwa shangwe na Madereva walioko kwenye mgomo
Mgomo huo leo umeingia siku ya pili na hali bado haieleweki kuwa lini mwisho wa ukomo wa mgomo huu kutokana na ukimya wa mamlaka husika.
Katika kituo kikuu cha mabasi ubungo wapo abiria wakiwa na matumaini ya pengine huenda ikatokea bahati wakasafiri,Askari wapo na mbwa wamezagaa kila kona.
No comments
Post a Comment