Zinazobamba

MKURUGENZI MKUU WA TPA KUONGOZA FORUM YA WATAALAM WA LOGISTICS, Eng. MGANILWA NAYE KUTOA YA MOYONI....



Na mwenyekiti,
 Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya bandari hapa nchini, Ndg. Madeni kipande anatarajiwa kuongoza forum ya wataalam wa sector ya logistics itakayoketi, januari 16 mwaka huu, jiji Daresalaam,
Akizungumza na Mtandao huu, Muaandaji w forum hiyo Bw. Godlisten Msumanje, ameweka wazi kuwa forum hiyo inatarajiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika sekta hiyo ya logistics inayoonekana kukua kwa kasi hapa nchini,
 
waizri mwenye Dhamana na Logistics hapa nchini, Harrison MWAKYEMBE
Msumanje amesema, katika Forum Hiyo ambayo imeealika wataalam mbalimbali toka kona ya nchi yetu, pia inataajiwa kuhudhuliwa na katibu mkuu wa chama cha Tanzania Shipping alliance Association (TASAA),Bw. Elitunu Mallamia, ambaye anatarajiwa kutoa uzoefu wake katika masuala ya shipping na changamoto zinazokabili sekta hiyo kwa ujumla wake,
"Tumeamua kuandaa jukwaa hili ili wataalam wa logistics tuweze kuzungumza kwa pamoja, ili tuweze kujua ni changamoto zipi inaikabili skta yetu na kivipi tukabilianae nayo, ukizingatia sisi ndio wataalam wajao, lazima tufahamu ni namna gani tunaweza kukabiliana na changamoto ambazo wenzetu waliopo katika Tasnia wanapambana nazo
Katika Forum hiyo ambayo itahudhuliwa pia na Mkuu wa chuo cha usafirishaji hapa nchini, Eng Dr. Zakaria Mganilwa,inaelezwa mada mbalimbali zitajadiliwa ikiwa ni pamoja na changamoto na jinsi chuo hicho cha taifa kilivyojipanga namna ya kuzalisha rasilimali watu watakao tatua shida ndani ya Bandali yetu,

Inasadikiwa kuwa mamilioni ya Tsh. yanapotea katika bandali yetu kutokana na usimamizi mbovu wa watendaji waliopo katika sekta hizo hali iliyofanya, waziri mwenye dhamana wa bandari hapa nchini, Mh. Harrison Mwakyembe kufanya mabadiliko ya watendaji katika bandari yetu kila mara

changamoto moja wapo ndani ya bandari yetu
 
HII HAPA RATIBA KAMILI YA FORUM HIYO.

NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT

PROPOSED TIME TABLE FOR THE CAC FORUM TO BE HELD ON THURSDAY JAN 16, 2014
THE MAIN THEME: TO DISCUSS “PORT AND MARITME TRANSPORT CHALLENGES IN AFRICA”
THE SUBTHEME: TO DISCUSS “THE CONCEPT OF PORT AS A LOGISTIC CENTER IN GLOBAL LOGISTIC CHAIN AND THE OPPORTUNITIES THEREOF”
CHAIRPERSON OF THE FORUM: MR. GODLISTEN P. MSUMANJE (CAC CHAIRPERSON) IN LIAISON WITH ENG. DR. S. CHANG’WARO (MENTOR)
VENUE: NIT MAKUTI HALL
TIME: FROM 1:30PM TO 6:00PM
S/N
EVENT
CHARACTER
TIME (PM)
1.
ARRIVING AT THE HALL
ALL
1:30-2:00
2.
INVITITATION OF PARTICIPANTS
CAC SECRETARY(MR. ROBERT F. MBANGULAR)
2:00-2:05
3.
INTRODUCTION ABOUT THE FORUM
CHAIRPERSON
2:05-2:10
4.
INVITING THE RECTOR TO OFFICIATE THE FORUM
MENTOR(ENG. DR. S. CHANG’WARO)
2:10-2:15
5.
OFFICIATING THE FORUM
RECTOR (ENG. DR. ZACHARIA MGANILWA)
2:15-2:30
6.
LEADING THE FORUM
CHAIRPERSON&MENTOR
2:30-5:30
7.
FIRST SPEAKER
MR. ELITUNU MALLAMIA (EXECUTIVE SECTRETARY TASAA)
2:30-3:00
8.
SECOND SPEAKER
DIRECTOR GENERAL TPA

3:00-3:30
9.
CONTRIBUTION OF LECTURERS
MADAM BENITER MIAMBA

3:30-3:50
10
GENERAL DISCUSSION
ALL
3:50-5:30

11
INVITING THE RECTOR TO CLOSE THE FORUM
MENTOR (ENG. DR. S. CHANG’WARO)
5:30-5:35
12
CLOSING THE FORUM
RECTOR (ENG. DR. ZACHARIA MGANILWA)
5:35-6:00
13
LEAVING
ALL
6:00-


No comments