Zinazobamba

NCHAMA AREJESHA FOMU YA KUTIA NIA KUGOMBEA UBUNGE KIVULE.


Na Mwandishi Wetu.

Kada Chacha Nchama amerejesha fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake cha CCM kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kivule.

Nchama amerejesha fomu hii leo Julai 1,2025,kwa katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi,baada ya kukamilisha taratibu.
Aidha amesisitiza kwamba moja ya adhma yake ya kugombea Ubunge ni kutatua changamoto zinaikabili Jimbo hili ikiwemo miundombinu ya Barabara.

No comments