Zinazobamba

MWANASHERIA NGULI AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA.


Na Mwandishi Wetu.

Mwanasheria nguli Jonh Peter Jonh amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga. 

Mwanasheria huyo amechukua fomu hiyo leo Julai 1,2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yared. Aidha amesema kwamba amewiwa kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo hilo ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi.

No comments