NCHAMA ACHUKUA FOMU KUTIA NIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIVULE.
Kada wa CCM Chacha Wambura Nchama amechukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kivule.
Nchama ambaye ni mfanyabiashara amechukua fomu hiyo leo Julai 1,2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.
Aidha amesema kwamba ametia nia kugombea nafasi hiyo kwa lengo la kumsaidia Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuondoa changamoto zinazokabili Jimbo la Kivule.
No comments
Post a Comment