PROFESA KETARO AJITOSA UBUNGE KIVULE
Na Mwandishi Wetu.
Askofu Mtaafu Profesa Stephen Ovio Ketaro amechukua na kurudisha kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Profesa Ketaro amerudisha fomu hiyo leo Julai 1,2025 na kukabidhi kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Ilala,Chief Sylvester YerediAidha amesema kwamba ameamua kutia nia kugombea Ubunge Kivule ili kusaidiana na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutatua changamoto zinazowakumba wananchi wa Jimbo hilo.
No comments
Post a Comment