KADA MTIIFU WA CCM LAMECK NYAMBAYA ATIA NIA KUGOMBEA JIMBO LA SEGEREA.
Kada wa CCM Lameck Nyambaya amechukua fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Segerea.
Amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 1,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.
Nyambaya amesema kwamba ameamua kutia nia ya kugombea ili kumsaidia Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Segerea. 

No comments
Post a Comment