Zinazobamba

CCM HAIJAWAACHA NYUMA VIJANA KWENYE UJENZI WA TAIFA.

Na Mwandishi Wetu.

Cha Cha  Mapinduzi (CCM) kimejidhihirisha kuwa ni chama kinachoongoza kwa uwezo wa 
jinsia wala kabila,"kuwa watazamaji, bali wamekuwa nguzo muhimu ya siasa,maendeleo na mageuzi ya kawawa akiwa na miaka 28,na uhuru wa Tanganyika umepatikana mwaka 196. 

Mwalimu Nyerere akiwa na miaka 37,hii ni ishara tosha kuwa msingi wa mapambano ya uhuru na fursa kubwa kwa vijana na kinatambua mchango wa vijana.

Maendeleo ya taifa yalijengwa na vijana, CCM imerithi urithi huu kwa dhati na kuendeleza 

Kuhusa Demokrasia na Maendeleo ya Vijana,kwa mfano,kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM),chama kimekuwa na chombo chenye mshikamano wa kitaifa kwa njia ya demokrasia na usawa,bila kujali umri, 
kinaelekeza kuwa moja ya malengo yake makuu ni "kukuza na kudumisha 
kijamii kwa maendeleo endelevu ya taifa letu.

Kusimamia kikamilifu nafasi ya vijana katika ujenzi wa Taifa,Kwa mujibu wa Katiba ya CCM,Chama Cha CCM ni Chama bora chenye Misingi imara ya kwanza kuwajenga Vijana kuwa Viongozi. 

Tangu kuanzishwa kwake  Februari 1977 kwa muungano wa TANU na ASP, Chama  kimenufaika moja kwa moja na utekelezaji wa sera na Ilani ya uchaguzi ambapo Vijana hawajabaki.

Katika misingi hii, CCM kimekuwa kikiwapa vijana nafasi ya kushiriki, kuongozana maalumu kwa ajili ya kuwaandaa vijana kitaaluma, kiitikadi na kiuongozi. 

Katiba ya CCM imetambua Jumuiya ya UVCCM kama mojawapo ya mihimili mitatu ya chama katika kukuza uongozi naushiriki wa makundi maalum. Miongozo ya chama inasisitiza kuwa 
Katika historia ya harakati za kisiasa nchini, vijana wamekuwa mstari wa mbele.
Mwalimu Nyerere kutoa dira ya maendeleo, kulinda amani na mshikamano wa kitaifana kutambua 
mtazamo huo kwa vitendo tunaona kwa macho yetu kuwa CCM ni chama kinachowapa Vijana vipaumbele kwenye uongozi.

Mwalimu Julius Nyerere alishiriki kuanzishwa TANU akiwa na umri wa miaka 32 na Mzee Rashid nafasi ya vijana si ya huruma bali ni haki na wajibu,Vijana wanashiriki katika vikao vyote vya maamuzi kuanzia ngazi ya tawi,shina,kata,wilaya,Mkoa hadi taifa,mfano mwenyekiti 
inavyowekeza katika rasilimali watu ya vijana.

Pili,llani ya CCM Mwaka 2020-2025 na 2025-2030 ni Ushindi wa Kujali Vijana,
walionufaika na mikopo ambapo iliongezeka kutoka 142,170 mwaka 2020 hadi 245,799,Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Manufaa hayo kwa vijana ni pamoja na Elimu na Mikopo ya Elimu ya Juu,Idadi ya wanafunzi wa elimu ya juu kipaumbele,zaidi ya 7 milioni ni ajira zisizo rasmi,Katika Ilani ya 2025-2030, CCM masharti nafuu kupitia mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

Pia Samia Scholarship,Mpango huu umefadhili wanafunzi 3,696 katika masomo ya Sayansi kwa Vitendo,zilitolewa kwa vijana 8,242 kati ya 2020 hadi 2024.
 
Katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya mwaka 2020-2025 na ile ya 2025-2030,CCM imeweka bayana mikakati thabiti ya kuwawezesha vijana,Baadhi ya hatua zilizotekelezwa zinalenga kuongeza kasi ya ajira kwa wastani wa asilimia 7 ya ukuaji wa uchumi.

Halikadhalika Elimu bila malipo kuanzia awali hadi kidato ha sita imekuwa ikitolewa mwaka 2024. Wanafunzi wa stashahada 9,959 walipata mikopo katika fani zenye sayansi,tiba,na uhandisi. 
Ni mpango unaodhihirisha jinsi Serikali ya CCM cha kamati ya siasa,kikao cha halmashauri kuu kwa ngazi husika,hii inamaana Ajira kwa Vijana Zaidi ya ajira 8,084,203 zilitengenezwa kati ya 2020 hadi 2024, wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi katika ngazi yeyote ni mjumbe wa kikao 
wanashiriki katika maamzui yote katika jamii.

Aidha Mikopo kwa Vijana,kupitia mapato ya Halmashauri,shilingi bilioni 96.3 
ikiwapa fursa kwa Watoto wa kitanzania na vijana kupata elimu bila kikwazo
chochote,CCM iendelea kuwa na Imani kubwa sana vijana tumeshuhudia zaidi Wakuu wa wilaya,Wakurugenzi wa halmashauri,wakuu wa Mikoa,Mawaziri,Wabunge.

Chama cha mapinduzi kinatambua mchango wa vijana katika maendeleo ya taifa,CCM wanaungwa mkono na wananchi na chama chao,Mfano Mkoa wa Kigoma asilimia kubwa Vijana wengi zaidi sasa wanashiriki kupiga na kupigiwa kura.
Kuhusu ukomo wa Viti Maalum,salimia 50 ya vijana wameteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi kama wakuu.

4.Utekelezaji wa Ilani ya CCM inavyogusa Maisha ya Vijana na kugombea Majimbo au kata,nafasi kuanzia ngazi ya serikali za mitaa udiwani, hadi ubunge,ili mradi tu wamekidhi vigezo vinavyotakiwa.

Ajira na Uwezeshaji Kiuchumi:Serikali itaendelea kutoa mikopo yenye 
Kwa mujibu wa Ilani ya CCM ya 2025-2030,vigezo vya kikatiba,CCM imefanya maboresho ya kanuni mnamo Machi 2025.

Wananchi kwa ujumla,hali ya biashara kwa vijana,waliochaguliwa katika maeneo mengi walikuwa vijana,huu ni ushahidi kuwa vijana wana uwezo mkubwa wa kufanya maendeleo.
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, zaidi ya asilimia 60 ya 
95 walioshinda uchaguzi wa serikali za mitaa walikuwa ni vijana,Wanawake umewekwa,hii imefungua nafasi zaidi kwa vijana wanawake.

Maendeleo ya Sayansi na TEHAMA,CCM inalenga kufundisha vijana ujuzi.
 
Hatua za uchukuaji fomu na fursa za Kisiasa kwa Vijana,yamewekwa masharti nafuu, kuimarisha huduma jumuishi za kifedha,na kuboresha mazingira,Kwa mujibu wa Katiba ya CCM na kanuni zake,vijana wana nafasi zote sawa za kugombea yaliyoongeza demokrasia na ushiriki wa vijanaWigo wa Kura za Maoni umeongezwa,TEHAMA, kuongeza matumizi ya teknolojia katika ajira, biashara na ubunifu.
Kuhusu Michezo na Sanaa,Serikali ya CCM inakuza sekta ya sanaa na michezo kuwa fursa ndani ya CCM Ruzuku ya Elimu na Elimu Bila Malipo,Shilingi trilioni 1.3 zilitumika,Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi, Makatibu Tawala na hata Mabalozi,Chini ya uongozi wa Dkt.Samia Suluhu Hassan,CCM imeonyesha uthubutu na dira ya Kauli mbiu yake ya "Kazi na Utu, Tunasonga Mbele" si maneno matupu, bali ni dira yenye chenye mwelekeo wa kuandaa taifa la kesho kupitia uwekezaji katika vijana. 

Kila kijana anapata Ajira,elimu,uwekezaji na diplomasia inayoleta fursa mpya kwa vijana,Dkt.Samaia amekua Rais wa 
kuendesha elimu bila ada kutoka awali hadi sekondari kati ya 2020-2024.
anayeamini katika maadili,uzalendo, na maendeleo ya kweli anapaswa kuona fahari na kweli kwa kizazi kipyakizazi cha vijana,Dkt. Samia ameendelea kufungua milango.

CCM ni Chama Cha Wote lakini Hasa Cha Vijana,ambapo Rais Dkt.Samia ni mfano hai wa kiongozi anayewajali Vijana kwanza mwanamke Tanzania, lakini pia kiongozi wa kwanza kuwateua vijana wengi kuwa Viongozi.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi,fursa za ajira kwa vijana,Dkt. Samia alianzisha Tamasha la Sanaa la Samia(Samia 
ni wakati wa vijana kuchukua fomu, kugombea kwa wingi, na kuhakikisha kuwa kura zao ushahidi katika utekelezaji wa sera kwa vitendo,zinabeba matumaini yao.

CCM sio chama cha historia tu,ni chama cha leo na kesho kwa zaidi ya miaka 48 ya historia yake,CCM imejidhihirisha kuwa chama makini, kisasa,Youth Art Fund) na kuwekeza katika miundombinu ya michezo"Oktoba tunatiki" 

No comments