Zinazobamba

Mahafali ya Ilala Ilsamic, Sheikh Chizenga awaasa wahitimu kuwa wacha Mungu

 

Katibu wa Barza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga akiwa katika mahafali ya 13 ya Ilala Islamic, Kiongozi hyuyo wa Kiroho amewataka wanafunzi kuendelea na tabia njema walifundisha shuleni. 







Maonyesho ya sayansi yakiendelea. wanafunzi walipata fursa ya kuonyesha wanachosoma shuleni hapo. 














Hakuna maoni