Jumuiya ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ivitaka vyombo vya dola kuzuia Mawasiliano ya watuhumiwa wa kashfa wa Escrow.
Akizungumza na Fullhabari. Blog, Rais wa Jumuiya hiyo Abdul Nondo amewataja viongozi hao wa Umma ambao ni pamoja na Professa Anna Tibaijuka , Andrew Chenge , Sospiter Muhongo na wengine wanatakiwa kichunguzwa na kushikiliwa Mawasilino yao kisha kupelekwa Mahakamani kwa vigogo hao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI