Home
/
Unlabelled
/
MCHELE WA PLASTIKI NI PASUA KICHWA,TIZAMA VIDEO JINSI MTU ALIVYOIBUKA NA KUDAI ANAO,SOMA HAPO KUJUA
MCHELE WA PLASTIKI NI PASUA KICHWA,TIZAMA VIDEO JINSI MTU ALIVYOIBUKA NA KUDAI ANAO,SOMA HAPO KUJUA
Licha ya Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini TFDA chini ya mkurugenzi wake Kamishina Hiiti Sillo kukanusha vikali kuwepo kwa mchele wa aina hiyo, bado kumekuwa na Taarifa kuwa Tayari baadhi ya Maeneo hapa nchini inasemekana wameanza kuuziwa mchele wa Plastiki, ambapo amejitokeza mtumiaji wa mtandao wa Facebook anayesema yupo Kibaha Mkoani Pwani na kukiri kuwa anao mchele wa Plastiki na kutaka atafutwe ili atoe ushirikiano.
Mkazi huyo wa Kibaha anayetumia jina la Katunzi Katunzi kwenye Mtandao wa Facebook alichapisha ujumbe uliosomeka "Mimi kwangu ninao nimenunua hapa Kibaha Jana Usiku Nimeshindwa kuula sababu ni Plastiki kama mnahitaji ushirikiano mnitafute" kisha akaweka mawasiliano yake.
Jitihada za Muungwana Blog kumtafuta Katunzi zilianza Maramoja, Ambapo Baada ya kutafutwa kwa mawasiliano aliyota alikiri kuwa niyeye na alipoombwa kutoa ushirikiano wa habari hiyo, akailekeza timu ya Muungwana Blog iweze kukutana naye na Mahojiano yalikuwa hivi,
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
MCHELE WA PLASTIKI NI PASUA KICHWA,TIZAMA VIDEO JINSI MTU ALIVYOIBUKA NA KUDAI ANAO,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
17:37:00
Rating: 5
