Rais Magufuli Awaapisha Mwenyekiti NEC, Kamishna wa Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufani
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) anayechukua nafasi ya Mhe. Jaji Mstaafu Damian Lubuva
aliyemaliza Muda wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mhe.
Jaji Semistocles Kaijage akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kiapo
cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Mstaafu Hamid Mohamed Hamid kuwa Makamu kuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapishaJaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Mhe. Jaji Harold Nsekela
kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretariat ya Maadili ya Viongozi wa
Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Rehema Kiwanga Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Sivangilwe Sikalaliwa Mwangesi kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
vitendea kazi Mhe. Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Jackobs Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.