Zinazobamba

TRA YATOA MAFUNZO YA ULIPAJI KODI KWA HIYARI KWA WANACHAMA WA TABOA JIJINI DAR LEO.SOMA HAPO KUJUA




 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYxrX7W7t2w-eiMHU-VrF_5CCk-XcyX8Hycj-lIIkqYPqggG0GBHDQ99u23rFAvdINg69vMyQScQiNSWDzghOhyEVqKWnaKMniiQFwTr2LdeS9q_ABxD1-i_VXJP2ukNqBHg9XX3skJv0/s1600/DSCF6012.jpg
 
  Pichani ni Meneja wa elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Gabriel Mwangosi akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA) jijini Dar es Salaam leo.

MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) imetoa
mafunzo kwa Wanachama cha wasafirisha abiria (TABOA) jijini Dar es  Salaam leo, kuhusiana na wanachama hao kulipa kodi kwa hiyari bila shuruti.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8oBFfRkvppOZNGS8an1QPdPbKDAN2UxNjpzxdxc5umPxCMOAtiTBMHsF7jLP-lx6B9uBt_i7Dlt4v9X_jzGVDpHAxZaI5jRB75eECFbhm_ix53QO2GVukIKZOGvM3P026M-CK5K6xfXA/s1600/DSCF6008.jpg
 Pichani ni Meneja wa elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Gabriel Mwangosi akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA) jijini Dar es Salaam leo.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYFWc4CxIzzXdOnKk8L-qcIiJEHLkxqaHYBvUqT3OVcpYwKVT-FQNfxcoy9IAEcWL-87HBL2nMCF3-rjRxaIcVkuaIxs0bwkzvsT0_Ph4E_9etxqC2tbn6iTfaXk-acQ-jxmuoV7_mRr8/s1600/DSCF6014.jpg
Baadhi ya wanachama wa chama cha wasafirishaji abiria hapa nchini wakipata elimu ya kulipakodi kwa hiari inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) jijini Dar es Salaam leo.

Hakuna maoni