Zinazobamba

ZAKHIA MEGHJI LAWAMANI TENA,SASA AHUSISHWA NA ZENGWE LA KUMNG'OA MKURUGENZI WA NHC


Mwenyekiti mpya wa bodi ya shirika la nyumba (NHC) BI. Zakia Meghji  anadaiwa kuhusika kwa kiasi kikubwa na sintofahamu inayoendelea katika shirika hilo la kumtaka mkurugenzi wa wake kupunguza idadi wa wakurugenzi ambayo imeibuliwa na gazeti la kila leo la  hapa nchini FULLHABARI Imebaini,

Dulu za habari zinasema tokea kuteulia kwa Mwenyekiti mpya wa bodi ya NHC kumekuwepo na taarifa za chinichini za kumjengea zengwe mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Neemia Mchechu ili ang'atuke madarakani uku wakijua wazi kuwa muda wake wa kumaliza mkataba wake bado haujakamilika,


Wakitoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa za gazeti ambalo limeibua uozo unaoendelea chichini hapa NHC kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa shirika hilo, amesema sasa shrika hilo halina ugomvi na mkurugenzi wake mkuu na kwamba taarifa ambazo zimetolewa na gazeti moja hapa nchini ni unafiki mkubwa na hauna ukweli wowote, lakini walipoulizwa kuhusu uwepo wa uongozi mpya wa bodi,na kuhusika na mambo yote yanayoendelea katika shilika hilo, Mkurugenzi alionekana kuwa mkali sana na huku akitoa majibu ya mkato kuwa hawako hapo kujibu maswali ya waandishi bali wamekuja kutoa ufafanuzi,
Sisi fullhabari tutawaletea kwa kina kisa hii hadi tujue mwisho wa zengwe hili
Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza kaimu mkurugenzi wa shirika la nyumba NHC akikanusha moja za habari zilizotolewa na gazeti la kila leo juu ya mgongano wa kimaslahi katika shirika








No comments