Zinazobamba

SERIKALI YA KIKWETE,YAZIDI KUMPUUZA LOWASSA,SASA YASEMA TATIZO LA VIJANA WA TANZANIA SIO AJIRA,SOMA HAPA KUJUA TATIZO LAO

DR KISSUI S. KISSUI AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI WAKATI AKITOA TAARIFA KUHUSIANA NA KAMBI YA SIKU NNE ITAKAYOFANYIKA HUKO MLIMANI CITY CENTER  HIVI KARIBUNI. DK. KISSUI AMEKIRI KUWA VIJANA NDIO NGUVU KAZI YA TAIFA NA KWAMBA MPAKA SASA TANZANIA INAJUMLA YA VIJANA 16.2MILION AMBAO WOTE WANATAKIWA KUWABADILISHA FIKRA WAWEZE KUENDANA NA KASI YA UTANDAWAZI
MKURUGENZI WA ASASI ISIYOKUWA YA KISERIKALI YA (IYF) BW. JEON, HEE YONG AKITOA UFAFANUZI NAMNA WATANZANIA WATAKAVYIOWEZA KUNUFAIKA NA MAKAMBI YA SIKU NNE YATAKAYOFANYIKA HUKO MLIMANI CITY. YONG AMESEMA JUMLA YA VIJANA 3000 WAHUDHULIA KATIKA MAKAMBI YA SIKU NNE HAPO MLIMANI NA MICHEZO NA BURUDANI MBALIMBALI ZITAKUWEPO KATIKA KUNOGESHA MAKAMBI HAYO.
MKURUGENZI MSAIDIZI IDARA YA MAENDELEO YA VIJANA BI. VENEROSE MJENGA,AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI


Na Suleiman Magari pamoja na Karoli Vinsent
KILE kinachonekana  Serikalia ya Rais Jakaya Kikwete inazidi kupuuza kauli aliyoisema Waziri Mkuu aliyejiuzuru,Edward lowassa,kwamba Tatizo kubwa la Vijana wa Tanzania ni Ajira na kwamba kama ufumbuzi wa tatizo hilo usipapatiwa Ufumbuzi basi ni Bomu linalosubili kupasuka.

     Baada ya mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya vijana katoka wizara ya habari vijana, utamaduni na michezo leo hii ameibuka na kumjibu lowasa na kusema kuwa kwa sasa Tanzania haina tatizo la ajira na badala yake amesema vijana wa Tanzania wamekosa utamaduni wa kukubali kujituma hata kwa kujitolea,


Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo, Mkurugenzi huyo amesema vijana wengi wa Taifa hili wamekalia kufikili katika kuajiriwa tu na hawako tayari kubadilisha hiyo mitizamo ya kuanza kujitegenea ajira wenyewe
Amsema baada ya kugundua udhaifu huo sasa serikali imekuja na mbinu mkakati kwanza kwa kubadili fikra za vijana  zianze kufikiria makubwa na sio kufikilia kuajiriwa tu na kwa kuanznia tumeandaa makambi mbalimbali ambapo jumla ya vijana 3000 wanatarajiwa kujengewa uwezo ili waweze kubadili fikra zao na kuweza kuwa na mitizamo Chanya kwa maslahi ya Taifa na jamii kwa ujumla,
Akizungumzia makambi hayo ambayo yaatanza tarehe 05-09 mwezi wa nane pale mlimani center, Mkuruenzi huyo amesema ni makambi mazuri sana kwa vijana kwani tunatarajia watabadilisha mitazmo na hivyo kuwa na kizai kitakacholeta mageuzi katika taifa hili la Tanzani.








BURUDANI YA KUTOSHA KAMA HIZI ZITAUWEPO HUKO MLIMANI CITY HIYO AGOSTI 5-9


No comments