MBEYA KWACHAFUKA, HIVI NDIVYO ULINZI ULIVYOIMARISHWA MKOANI MBEYA,KIKAO CHA SSERIKALI NA WAFANYABIASHARA KUFANYIKA MCHANA HUU
Polisi
wakiwa wanasindikiza gari la matangazo ambalo lilikuwa likitangaza
kuomba Vurugu hizo na maandamano yasiyo Rasmi yasimamishwe
Ulinzi ukiwa unazidi kuongezeka kama inavyo onekana pichani Muda huu...
Taarifa
za awali zinasema kwamba kuna mkutano wa Ghafla umeandaliwa hapo saa
nane mchana ambapo wafanya biashara pamoja na wahusika kutoka Serikalini
watakutana ili kujadili suala hilo la Mashine hizo.
Endelea
kufuatilia nini kitazungumzwa hapo.. Timu nzima ya Mbeya yetu BLOG tumeungana nayo Live
tutakuwa eneo la tukio kukujuza hatua baada ya hatua..
AWALI HALI YA VULUGU ILITAWALA KATIKA JIJI LA MBEYA BAADA YA KUTAJWA KIKAO CHA GHAFLA KATI YA SERIKALI NA WAFANYABIASHARA KINACHOTARAJIWA KUFANYIKA JIONI HIII


Maduka yakiwa yamefungwa


Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao

Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu

Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote


Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA

Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia

Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite


Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....
No comments
Post a Comment