KAMPUNI YA CLOUDS MEDIA ITATARAJIA KUFUNGA SEASONI YAKE YA PILI YA
BIBI BOMBA MAPEMA WIKI HII KATIKA UKUMBI WA ESCAPE ONE HUKO MAENEO YA
MIKOCHENI AMBAPO MSHINDI WA JUMLA WA SHINDANO LA BIBI BOMBA ATAFAHAMIKA
RASMI HAPO,
 |
HAPA
AKIFAFANUA DHAIDI JUU YA MGENI RASMI KATIKA USIKU WA BIBI BOMBA,
SHUGHULI HIYO ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA ESCAPE 1 HUKO MIKOCHENI |
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI
DARESALAAM, MENEJA UENDESHAJI WA SHINDANO HILO BI. SAKINA LYOKA AMESEMA
JUMLA YA WASHIRIKI WATANO WATACHUANA ILI KUMPATA MSHINI WA KITITA HICHO
CHA MILIONI 12
AWALI SHINDANO HILO LILISHIRIKISHA
JUMLA YA MABIBI 12 AMBAPO JUMLA YA MABIBI 7 WAMECHUJWA NA KUBAKI 5 AMBAO
NDIO WANAOGOMBEA MTONYO KWA SIKU HIYO YA TAREHE 4
 |
BIBI BOMBA AKIFURAHIA JAMBO |
 |
MABIBI
BOMBA WALIOINGIA TANO BORA WAKICHEZA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI,
MMIONGONI MWA MABIBI HAWA MMOJA WAPO ATAIBUKA NA KITITA CHA SHILINGI
MILIONI KUMI NA MBILI, WENGINE WATAPEWA KIFUTA JASHO ILI WAENDE
KUENDELEZA UJASILIAMALI MAJUMBANI KWAO |
No comments
Post a Comment