POLISI WAMKAMATA MDADA ANAYEMILIKI SARE ZA JESHI
Jeshi
la Polisi kanda maalum Dsm lilifanikiwa kumkamata mwanamke atambulikae
kwa jina la Said Mohamed mkazi wa mwasonga kigamboni wilaya ya Temeke
nyumbani kwake akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)ambazo
ni suruali 7 za kombati,mashati ya kombati,kofia 10 za kombati,fulana 2,
kofia aina ya bareti,viatu jozi tatu mtuhumiwa huyo anaendelea
kushiliwa kwa mahojiano nakufikiswa mahakamani baada ya upelelezi
kukamilika.Alikadharika wakati huohuo Jeshi la Polisi kanda maalum lilifanikiwa tena kukamatwa kwa komputa nne za kudurufu kazi za wasanii huko buguruni polisi wakiwa katika doria walifanikiwa kukamata komputa 4 zikiwa na nyimbo za wasanii mbalimbali kinyume cha sheria na CD 200 bandia ambazo tayari walikuwa wakiziandaa kw kuingiza sokoni watuhumiwa hao ni Benjamini Atery mkazi wa ilaa, Nicolous Mbise mkazi wa tabata, Mohamed Shabani mkazi wa ilala bungoni, Peter Laurent mkazi wa buguruni, na Mohamed Rashid mkazi wa yombo, watuhumiwa wote wamekamatwa wanaendelea kuhujiwa baada ya upelelezi kukamilika watuhumiwa hao kupelekwa mahakamani.
PIA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LAZIMA JARIBIO LA KUPORA FEDHA KIASI CHA SHILINGI 60,000,000/= TOKA KAMPUNI YA NDEGE YA FAST JET.
Watu hao wa tano kwa kosa la kula njama na kujaribu kufanya tukio la uporaji katika kampuni ya Fast Jet, tukio hilo limemhusisha mmoja wa wafanyakazi katika kampuni hiyo aitwae Enea Dawson, kutokana na mtandao wa hali ya juu wa jeshi la polisi taarifa zilipokelewa kwamba kuna majambazi walikuwa na mpango wakufanya tukio kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo


No comments
Post a Comment