Zinazobamba

MCHAKATO WA KATIBA UKO NJIA PANDA- JUKWAA

MWENYEKITI WA JUKWAA LA KATIBA BW. DEUSI KIBAMBA AKIWAELEZA WAANDIHSI WA HABARI OFISINI KWAKE JINSI MCHAKATO WA KATIBA MPYA ULIVYO NJIAPANDA,KIBAMBA AMESEMA ILI MSWADA WA KATIBA UWESHIRIKILISHI HAKUNABUDI MAELEWANO YAKAWEKWA KABLA YA KUUSAINI NA MH. RAISI WA NCHI.
WAANDISHI WA HABARI WAKMSIKILIWA MWENYEKITI WA JUKWAA LA KATIBA, 
KIBAMBA AKIFAFANUA KWA MAKINI 

MARIA CHALE,MMOJA WA WAJUMBE WA BODI YA JUKWAA LA KATIBA  TANZANIA AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI, MARIA AMEMUOMBA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO KUWA MSIKIVU WA HOJA ZINAZOTOLEWA NA WADAU MBALIMBALI KABLA YA KUSAINI MUSWADA WA KATIBA










No comments