Zinazobamba

CITY MEDIA COLLEGE CHA ARUSHA CHAFUNGIWA, VINGINE VYAONGEZEWA MUDA ,NI KATIKA OPERESHENI YA KUBORESHA TASNIA YA HABARI,

KAJUBI MUKAJANGA AKIFAFANUA MBELE YA WAANDIHSI WA HABARI HATUA ZILICHUKULIWA KWA KUWAFUNGIA CHUO CHA CITY MEDIA COLLEGE KILICHOPO JIJINI ARUSHA, WAZAZI WAMETAKIWA KUPELEKA WATOTO WAO KATIKA VYUO VINAVYOKIDHI MATAKWA YA NACTE
BALAZA LA HABARI TANZANIA MCT KWA KUSHIRIKIANA NA BALAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) LIMEFANYA UKAGUZI WA VYUO VYA UANDIHSI WA HABARI NCHINI VILIVYORUHUSIWA  KUTUMIA MITAALA YA TAIFA YENYE ITHIBATI YA NACTE NA KUGUNDUA KUWA NI VYUO VIWILI TU VIMEWEZA KUKIDHI VIGEZO

 AKIZUNGUMZA NA WAAWA HABARI OFISINI KWAKE KATIBU WA BALAZA HILO BW.KAJUBI MWAKAJANGA AMETAJA VYUO HIVYO  KUWA NI CHUO CHA A3  INSTITUTE OF PROFESSIONA STUDIES NA ARUSHA JOURNALISM TRAINNING COLLEG CHA JIJINI ARUSHA

VINGINE VILIVYOSHINDWA KUKIDHI VINA KUONGEZEWA MUDA HADI DISEMBA MWAKA HUU NI PAMOJA NA CHUO CHA ARESALAAM SCHOOL OF JOURNALISM (DSJ),TIMES SCHOOL OF JOURNALISM (TSJ), NA ROYOL COLLEGE OF TANZANAI (RCT) VILIVYOPO DARESALAAM,

VINGINE NI INSTITUTE OF SOCIAL MEDIA STUDIES KILICHOPO ARUSHA NA ZANZIBA JOURNALISM AND MASS MEDIA COLLEGE KILICHOPO ZANZIBAR, 

KATIKA UKAGUZI HUO PIA UMEBAINI KUWABAADHI YA VYUO HAVINA UWEZO KABISA WA KUTOA MAFUNZO HAYO KWA WAANDISHI WA HABARI NA HIVYO KUPELEKEA KUFUNGA CHUO CHA CITY MEDIA COLLEGE KILICHOPO JIJINI ARUSHA KUTUMIA MITAALA HIYO YA TAIFA


PILI MTAMBALIKE AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, KATIKA UKAGUZI HUO ULIOFANYIKA  ILI KUBAINI VYUO VILIVYOKIDHI VIGEZO VYA NACTE VYUO VIWILI VIMEFANIKIWA KUKIDHI VIGEZO NAVYO NI A3 INSTITUTE OF PROFFESSION STUDIES NA ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE

MKURUGENZI WA MAFUNZO MCT AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDIHSI WA HABARI

WAANDISHI WA HABARI WAKISISKILIZA KWA MAKINI 

No comments