Zinazobamba

UTATU WA UKOMBOZI WATIKISA JIJI,MAELFU WAJITOKEZA KATIKA HADHARA,LIPUMBA ASEMA HAWALALALI MPAKA KIELEWEKEW

BBENDELA  ZA VYAMA VYA CHADEMA, NCCR NA CUF ZIKIWA ZINAPEPEA PALE JANGWANI, MAAELFU YA WATANZANIA WALIHUDHULIA MKUTANO WA HADHALA ULIYOITISHWA NA VYAMA HIVYO ILI KUMUOMBA RAISI ASIWEKE SAINI KATIKA MUSWADA WA KATIBA MPYA


WANANCHI WAKIFUATILIA MKUTANO




ASKOFU KAKOBE NAYE ALIKUWEPO KATIKA MKUTANO HUO MAENEO YA JANGWANI












No comments