Mkuu
wa Kitengo cha Huduma za Dharurua ‘Emergency Medicine Profesa, Victor
Mwifongo kushoto akibadilishana namba za mawasiliano na Meneja wa Kanda
ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo
Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza
Na Mwandishi Wetu
MRATIBU wa Masoko wa Kampuni ya Chloride Exide Bw, Robert Hiza leo ametoa msaada wa Betri mbili katika kitengo cha Emergency Medicine ya hospitali ya Taifa Muhimbili .
Msaada huo wa kwanza kutoa inaendana na miaka 50 ya kampuni hiyo ambapo watatoa viti mbalimbali katika hospital za Serikali vikiwemo Sola kwa ajili ya umeme wa jua . Akipokea msaada huo.Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Dharura ‘Emergency Medicine
Profesa, Victor Mwifongo amewashukuru kampuni ya Chloride Exide kwa
kuliona hilo kwani ni mara ya kwanza katika kitengo chao kupokea msaada
kama huo, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kusaidia vitu mbalimbali
ikiwemo hata magari kama yapo tunaomba msaada maana hapa kitengo chetu
ni cha mambo ya dharura na kinategemewa sana kama mnavyojua alisema Prof
Victor Mwifongo
Nae Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha Emergency Medicine Bw.
Kafuru Rashidi amendelea kutoa shukrani kwa kampuni hiyo kwa kuliona
hilo kwani yeye kama Dereva ameona ni jambo bora sana |
No comments
Post a Comment