CAG AWASAFISHA WIZARA YA UJENZI, ASEMA HAKUNA UFISADI WOWOTE KATIKA MATUMIZI YA BILION 252,975,000,ADAI MAKOSA YA KIHASIBU YAMETUMIKA NA BADALA YAKE AWAPONGEZA WIZARA HIYO KWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU NA MOYO WA HALI YA JUU KIASI KWAMBA BARABARA ZETU ZIMEENDELEA KUIMARIKA KILA KUKICHA
CAG AWASAFISHA WIZARA YA UJENZI, ASEMA HAKUNA UFISADI WOWOTE KATIKA
MATUMIZI YA BILION 252,975,000,ADAI MAKOSA YA KIHASIBU YAMETUMIKA NA BADALA
YAKE AWAPONGEZA WIZARA HIYO KWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU NA MOYO WA HALI YA
JUU KIASI KWAMBA BARABARA ZETU ZIMEENDELEA KUIMARIKA KILA KUKICHA
Þ MSAMATI KUBWA NI KWAMBA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA
HESABU ZA SERIKALI, LEO HII WAMETOA UFAFANUZI JUU YA SAKATA LA FEDHA BILIONI
252,975,000 ZILIZODAIWA KUTUMIKA VISIVYO NA WIZARA YA UJENZI, NA KUSEMA FEDHA
HIZO ZIMETUMIKA KIHALALI NA MAMLAKA YA UJENZI WA BARABARA HAPA NCHINI (TANROADS)
NA KUSEMA KUWA TATIZO KUBWA LILILOJITOKEZA NI UANDHISHI WA KIHASIBU
Þ AKIZUNGUMZA NA WAANDHI WA HABARI KATIKA MKUTANO MAALUM
WA KUFAFANUA KADHIA HIYO AMBAYO KWA MUDA MREFU IMEKUWA IKIRIPOTIWA KUWA KUNA
UFISADI MKUBWA UMETUMIKA KATIKA MATUMIZI YA PESA HIYO KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI HAPA
NCHINI, MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI BW. LUDOVICK OUTOH AMESEMA KUWA SUALA LA
UFISADI KATIKA MATUMIZI YA PESA HIZO HALIPO NA KWAMBA FEDHA HIZO ZIMETUMIKA
IPASAVYO TATIZO LIPO KATIKA UANDISHI WA KIHASIBU
Þ BW. LUDOVICK UTOU AMESEMA KIHASIBU FEDHA HIZO
ZILITAKIWA KUONEKANA KATIKA KITABU CHA TANROADS KUAFUATIA UKWELI KUWA WIZARA YA
UJENZI FEDHA HZO ZIMEPITA KAMA NJIA KWANI SEHEMU ZILIKO TUMIKA FEDHA HIZO NI
TANROADS
Þ FEDHA HIZO ZILIZOIBUA MJADALA MKUBWA HIVI KARIBUNI NA
VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI HAPA NCHINI KUWA MSTARI WA MBELE KURIPOTI UFISADI
HUO ZIMEELEZWA KUTUMIKA KWA KUWALIPA MAKANDARASI NA WASHAURI AMBAO WALIKUWA
WANATISHIA KUACHA KUENDELEA NA KAZI IKIWA NI KUISHINIKIZA MAMLAKA KUWALIPA
STAHILI ZAO
KATIKA HATUA NYINGINE OFISI
HIYO YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA MARA YA KWANZA WAMEZINDUA KITABU CHA MUHTASARI WA RIPOTI ZA CAG KWA MWAKA 2011/2012
IKIWA NI JITIHADA ZA KUWASAIDIA WANANCHI KUPATA FULSA YA KUTUMIA RIPOTI ZA CAG
KWA UKAMILIFU
AKIZUNGUMZIA
FAIDA YA UZINDUZI WA MUHTASARI HUO, Bw. LUDOVICK UTOUH AMESEMA LENGO KUBWA NI
KURAHISISHA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALIPAMOJA
NA KURAHISISHA USOMAJI NA UELEWA WA RIPOTI ZA CAG
No comments
Post a Comment