Zinazobamba

MENGI ASEMA RUSHWA INANUKA TANZANIA, IMEMKOSESHA MIRADI MIWILI MUHIMU,


Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Bw. Reginard Mengi ameitaka serikali kuwa makini na suala la rushwa kwani linarudisha nyuma kwa kiasi kikubwa na kwamba anayeumia zaidi ni mwananchi wa hali ya chini

Hayo ameyasema leo katika mkutano wa uzinduzi wa kitrabu cha utafiti juu ya mtazamo wa wafanyabiashar a juu

Mengi amesema kuna vitu vingi vinakwamisha nazingira ya ufanyaji biashara hapa Tanzania lakini suala la Rushwa linaonekana kuwa kero zaidi kwani  wengi wanaendelea kukosa haki zao kutokana na uwepo wa rushwa,

Bw, Mengi ameendelea kusema kuwa nchi hii inawatoa rushwa wachache sana hawadhini wanne na kwamba kama kweli serikali iko tayari kupambana na watu hawa tunaweza kushinda vita na tanzania ikawa kama nchi za wenzetu huko Rwanda

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bw. Reginald Mengi akifaifanua jambo kwa wanahabari juu ya rushwa ilivyoweza  tshindwa kuya kukumuathiri vibaya mno, asema amekosa miradi miwili mikubwa sababu ya kushindwa kutoa rushwa

 Hapa Mengi akifafanua juu ya madhara ya kuendekeza rushwa,amesema w
 atu wanne tu wanasumbua sana na kwamba kama serikali iatakuwa macho na watu hao tutashinda vita, Amesema watoa rushwa hao wanne ndio wanaofanya pia biashara za madawa ya kulevya, alipoulizwa ni watu gani hao mengi hakuwa tayari kuwataja hadharani

No comments