MTANDAO WA SIMU WATOA FUTALI KWA YATIMA, WATOTO 300 WANUFAIKA NA FUTARI HIYO,MILIONI TANO NA NUSU ZATUMIKA KUTOA FUTARI HIYO
YATOA FUTALI.
Kampuni ya simu za mkononi AIRTEL Tanzania kupitia kitengo chake cha huduma kwa jamii wametoa msaada kwa vituo vitatu vya watoto yatima vya jijini Daresalaam na kuongeza vituo vingine vya mikoa ya Arusha,Mwanza na Mbeya ili kusaidia watoto wanaolelewa katika vituo hivyo waweze kufuturu kwa mwezi huu wa ramadhani
Msaada ulotolewa ni pamoja na Mchele,Sukari,maharagwe, unga, mafuta ya kupikia ,maziwa, juice, majani ya chai na sabuni vyote vikiwa na thamani ya Tsh million tano na nusu(5,500,000)
Akizungumza katika halfa hiyo iliyofanyika jijini Daresalaam,Meneja uhusiano wa huduma kwa jamii Bi. Hawa Bayuni amesema huo ni utaratibu wao wa kurudisha kidogo walichokipata kwa wananchi wenyewe wanaofanya nao biashara ili kiweze kuwasaidia vijana wetu
Akifafanua zaidi Meja uhusiano huyo amesema kwa kipindi cha miaka 11 iiyopita wameweza kusaidia jamii mbalimbali ya watanzania hususani wale wanaoishi katika mazingira magumu
Futari iliyotolewa leo imewanufaisha jumla ya watoto mia tatu wa mkoa wa Dar,uArusha, Mwanza na Mbeya
Katika hatua nyingine Meneja uhusiano wa kitengo cha huduma kwa jamii aliongzea kusema kuwa wateja wa airtel wanaweza kufurahia huduma maalum ya mwezi mtukufu wa ramadhani kwa kutuma neno RAMADHANI kwenda namba 15322 ambapo mteja atapokea dua, nukuu za quran,Mawaidha na Taraweh salat moja kwa moja kwenye simu yake ambayo itamghalimu Tsh 153 tu kwa siku

No comments
Post a Comment