MCHORA KATUNI MAARUFU ALAMBA DOLLA 1000, ASEMA SI KAZI RAHISI YAHITAJI KUSUMBUA KICHWA
MCHORA KATUNI maarufu hapa jijini Bw. Abdul Kingo amefanikiwa kupewa dhawadi baada ya katuni yake kushinda baadhi ya katuni nyingine.
ABDUL KINGO akifafanua jambo juu ya namna ya kuandaa katuni na kuwasilisha wazo, amesema si kazi rahisi na inahitaji kujitoa |
HI NI MOJA YA KATUNI ZAKE ALIZOPATIA UMAARUFU |
HAPA AKIPEWA ZAWADI NA MKURUGENZI MKUU WA TPSF BW, GODREY SIMBEYE |
KATUBI ILIYOMPATIA DOLLA 1000. |
No comments
Post a Comment