TANESCO YAKUTANA NA WADAU MKOA WA MOROGORO KUJADILI VIHATARISHI NA MIKAKATI YA KULINDA & KUTUNZA VYANZO VYA MAJI VINAVYOTIRIRISHA MAJI JNHPP
Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO limeshiriki kikao na wadau wa Taasisi mbalimbali za Serikali na Uongozi wa Mkoa wa Morogoro wakiongozwa na Mkuu wa mkoa Mhe.Adam Malima kwa lengo la kutambua vihatarishi na mikakati ya kuzuia uharibifu wa vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji kwenye bwawa la Julius Nyerere ili kuwezesha Mtiririko wa maji kwenda kwenye bwawa kuendelea kuwa endelevu kwa kuzingatia vyanzo vingi vya mito inayopeleka maji JNHPP vinatokea Mkoani humo.
No comments
Post a Comment