MUSUKUMA AWAPOGEZA WAANDAAJI WA MAONESHO
Aliyekuwa mbuge wa Jimbo la Geita Vijijini ambaye pia anatetea nafasi ya Jimbo hilo Joseph Kasheku Msukuma ameipogeza kamati ya maandalizi ya maonesho ya Nane ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Katika viwanja vya Samia Suluhu Hasan Mkoani Geita.
Msukuma amesana Hilo wazo la kuanzisha ya hayo maonesho walianza yeye na aliyekuwa Mkuu wa mkoa huo Muandiai Robert Gabrieli Walianza kwenye kiwanja Cha Mpira,mwaka uliofuata wakajenga jengo la utawala
Sasa wanaendelea kusonga mbele na washiriki wanaongezeka kila mwaka hii inatia moyo sana kwakuona watu wanaitikia vizuri Pia ameopongenza Kampuni ya FEMA MINING kuwa ni mfano mzuri wa kwa kazi kubwa inayofanya kwenye sekta ya Madini
Amesema serikali kupitia,Halmashauri inapata CSR kuanzia shilingi miion159-400.Kwa upande wake Afisa Usalama kampuni yauchimbaji Madini ya FEMA MINING Victor Mkono inayofanya shughuli za uchimbaji katika mgodi wa buckreef amesema ni Kampuni ya kitanzania inayomilikiwa na Watanzania asilimia 100
Amesema kwa kile wanachokipata wameweza kulejesha kwenye jamii inayowazunguka hususani kwenye sekta ya Afya,elimu lakini pia wameweza kuchimba visima virefu vya Maji safi na salama
No comments
Post a Comment