Zinazobamba

AMIRY ABDALLAH MHANDO AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE KIVULE.


Na Mwandishi Wetu.

Kada wa CCM Amiry Abdallah Mhando amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Jimbo la Kivule. 

Amerudisha fomu hiyo le Julai 1,2025 kwa katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi. 

Aidha amesema kwamba ameamua kutia hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo hilo kutokana na changamoto mbalimbali za kinaendeleo zinazowakabiki. 

No comments