AFISA WA MAHAKAMA AJITOSA KUTIA NIA KUGOMBEA UBUNGE KIVULE
Na Mwandishi Wetu.
Afisa wa Mahakama Kanda ya Dar es salaam Weaver Marcell Indah amechukua fomu kugombea Ubunge Kivule ili aweze kuwatumikia wananchi.
Amechukua fomu hiyo leo Julai 1,2025 katika Ofisi ya Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.Aidha amesema kwamba ameamua kutia nia kugombea nafasi ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Kivule.
No comments
Post a Comment