Zinazobamba

Hizb Ut Tahrir Tanzania yamng’ata sikio Mufti Zubeir

 


 


Jana tarehe 19 Februari 2024 Sheikh Mussa Kileo, Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Tanzania aliongoza ujumbe wa watu watatu akiwemo Masoud Msellem, Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania uliokwenda Afisi ya Mufti kumfikishia risala ya nasaha ya kimaandishi iliyopokewa na afisi ya Katibu wake kwa niaba yake.

Risala hiyo ni kuhusu namna jamii ya Kiislamu isivyoridhishwa na ukimya wa Mufti na BAKWATA au kutoa kwao kauli zisizostahiki kuhusiana na qadhia mbalimbali za Waislamu za kitaifa na kimataifa.

Risala ya Ujumbe huo ilihusu qadhia zifuatazo:

Endelea Hapa: Ujumbe wa Hizb ut Tahrir Tanzania Wapeleka Risala Maalumu kwa Mufti Mkuu na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)

 


Hakuna maoni