Chama Cha Mapinduzi kimewaalika
wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika
wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya
Wilaya.
Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba na kesho Novemba 3
Hakuna maoni
Chapisha Maoni