Zinazobamba

Tovuti bora ya kubashiri Soka na inakupa jezi Halisi ya Alex Iwobi yenye sahihi pamoja na uchambuzi wa njia za kubashiri



Jiunge na family kubwa ya kijanja sasa  inayokupa fursa ya kua mtaalamu wa kubashiri michezo ya ligi mbalimbali barani ulaya na duniani kote kwa ujumla. Pia tunakupa nafasi ya kucheza jackpot na kushinda kila wiki.

 

Sasa Mchongo uko hivii, unachotakiwa kufanya ni kuwa na simu yako au computer kisha tembelea www.tanzaniatips.com  kisha jisajili lina lako kiukamilifu na jina lako litaingizwa katika washindani wa kuishindia jezi halisi ya Alex Iwobi. Nafasi ya kushinda ni kubwa sana kama utajisajili sasa na kupata madini ya kubashiri michezo ya ligi unazopenda.

 

Sisi Tunakukusanyia taarifa zote za ligi zote kubwa duniani, pia tunakupa na uchambuzi wa kina unaokupa madini ya kuweza kuvumbua njia nzuri za  kuweka mkeka wako wa ubashiri na kushinda kila siku. Zaidi ya hapo pia kuna jezi halisi zinazo tolewa kila wiki, na wiki hii  tunakupa zawadi ya jezi halisi ya winga raia wa Nigeria Alex Iwobi ikiwa na sahihi yake.

 

Ligi ya mabingwa barani ulaya imeanza msimu mpya, baadhi ya vilabu vikubwa vikikumbwa na upepo wa kisulisuli nyumbani kwao, PSG, Real Madrid na Chelsea hali si hali wakati wale wasio tarajiwa ndio wamefanya yasiyo tegemewa ugenini. Kuna njia zake za kubashiri na kpatia kama walivyo patia waliopita wiki hii kupitia Tanzania Tips na kupata maujanja ya kusoma alama za nyakati katika kuweka ubashiri wao.


pamoja na ligi nyingine kubwa zinazoendelea hapa tutakupa mchanganuo halisi wa Bayern Munchen inavyotawala Bundersliga, je, moto wa Reloy Sane utamuwezesha Robert Lewandowsky kubeba tena kiatu cha dhahabu msimu huu, ama itakua ni mwaka wa Erling Haaland na Jardon Sancho kukiwasha na kupindua meza ya kijerumani. Tunakuwekea madini yote ujipakulie size yako.

 

Na vita ya Serie A, Jinsi Cristiano Ronaldo anavyopata upinzani mkali wa kuwania ufalme kupachika mabao msimu huu kutoka kwa Mkongwe Zlatan Ibrahimovic na Romelu Lukaku Bolingoli akiwa na moto wa  wa kutaka kuweka records nyingine kwa wataliano na kusimamisha kasi ya Andre Pirlo na kibibi kizee cha Turin Juventus katika kujikusanyia mataji ya Italia licha kuongeza. Napoli na AS Roma nao wakiendelea kua ving’ang’anizi na kuvuruga mipango ya wengine katika kuwania taji la seria A.

 

La Liga Santander Wakati Ronald Koeman akikisuka upya kikosi cha Barcelona Nou Camp, kapteni Lionel Messi bado yuko kwenye wakati wa kuibeba timu kwenye milima na mabonde, je atafanikiwa kuivusha salama? huku kinda Ansu Fati akionyesha maajabu na kuwazidi wakongwe akiwa bado na umri chini ya umri wa miaka 18, akijaribu kushindania kiatu cha dhahabu msimu huu. 

Na kule Santiago Bernabeu wakati bado zinedine zidane akiendelea kuteswa na mzimu wa CR7 na sasa kuondokewa na Gareth Bale bado anaendelea kukipanga vema kikosi chake kikiongozwa na wakongwe Sergio Ramos, Karim Benzema na Marcelo huku kinda waoa vinicious junior akiendelea kuleta matumaini chanya kwenye safu ya ushambuliaji licha watu kuanza kuhoji uwezo wa kuhimili shuruba za ligi ya mabingwa barani ulaya. Huku kwa diego someone ujio wa Luis Suarez umeongeza nguvu katika ubavu wa Diego Costa na kuleta tumaini jipya la kuwania ubingwa kwa Atletico Madrid licha ya Alvaro Morata kutimkia Juventus.

 

Kunako ligi pendwa ya England japo wakongwe wameanza vibaya na kuacha vijana wa Carlo Ancelloti Everton kuongoza ligi kwa wiki nne sasa wakiwa hawajapoteza mchezo wowote wakifatiwa na Aston Villa, watu wameanza kuhofia kasi ya Ancelloti na kikosi chake alicho anza kukiunda upya baada ya kufanya usajili wa wachezaji saba msimu huu. Lakini wazoefu wanadai ni kawida timu kama Manchester united, Liverpool naMnchester city kuanza vibaya halafu baada e zinenda kuchukua nafsi zao kama kawaid, 

 

Lakini kulingana na usajili uliofanyika msimu huu na vilabu kama Chelsea na  Arsenal kuonekana bado wanasafari ndefu ya kutengeneza timu zao kwasababu wamekua na maingizo mapya mengi kwenye vikosi vyao na kocha Frank Lampard kuonekana kama amekalia kuti kavu katika viunga vya darajani pamoja na swahiba wake Ole Gunnar soljaer nae pia anatabiriwa kuto maliza msimu akiwa na mashetani wekundu wa Old Trafford, Je haya yote yanaweza kuwa kweli, na Jurgen Klopp ataweza kutetea ubingwa wake msimu huu? 

 

Vipi kuhusu Arteta na laana ya kumtenga Mesuit Ozil na hali kuonekana kama kuna mgawanjiko wa mashabiki wa wshika bunduki hao baadhi yao wakiwa hawajapendezwa na kitendo hicho, Na umesha waza itakuaje kama Edison Cavani yakimkuta ya Romelu Lukaku na Alexis Sanchez akishindwa kufanya kile kinacho tarajiwa na wengi pale Old Trafford, unandani nini kitatokea. Michongo yoote hii na uchambuzi wa kina unaupata kupitia  https://tanzaniatips.com/  Na kumbuka kwa wewe kuingia kwenye mtandao huu na kujisajili tu unashinda jezi halisi ya Alex Iwobi ikiwa na Sahihi yake.  

 

Kujisajili ni buree kabisaa, ni wewe tu na simu yako au computer yako na bando lako hata la jero tu ingia kwenye mtandao wetu bora kabisa unaokupa madini ya kweza kubashiri kiutaalamu na sio kubahatisha, pamoja na zawadi za jezi kila wiki ujiunge na familia kubwa ya wapenda soka dunia nzima. Ukijisajili mara moja tu utaingia moja kwa moja kwenye shindano la kushinda jezi ya Alex Iwobi, Usisubiri kuona mifano kwa wengine wewe ndio uwe mfano wao jisajili leo na wao wafate nyayo zako.

 

https://tanzaniatips.com/ ndio tovuti bora zaidi ya ubashiri wa soka nchini Tanzania kwasasa unakupa tafsiri ya soka na uchambuzi makini wa moja kwa moja, matukio na taarifa zote za mchezo wa soka. Kwa dau lolote line umaloweza kuweka tunakupatia mbinu za teknolojia za kisasi kuweka ubashiri wako kupitia mtandao wetu, huu ndio mtandao bora kwa sasa unaokupa mjia ma mifumo ya kisasa katika kufanya ubashiri wako kila siku kwa zaidi ya alilmia 85 za kushinda.

 

Aina za tafsiri za ubashiri zinazopatikana kwenye mtandao huu https://tanzaniatips.com/  kuna machaguo tofauti ya ubashiri, kama ukitaka kubashiri timu itakayoshinda, kubashiri idadi ya magoli, Timu itakayo ongoza kipindi cha kwanza au kipindi cha pili, Mchezaji atakaye funga goli, idadi ya kona, Au kama kutatokea penati.

 

Tafsiri hizi za ubashiri zimejaribiwa na kuundwa kitaalam kukupa nafasi nzuri ya kushinda. Pia utapata taarifa mbalimbali za michezo kila wakati kutoka duniani kote. Ni nafasi yako wewe sasa kutumia fursa hii utambukike kama mtaalamu wa kubashiri kupitia https://tanzaniatips.com/

 

Huu ni mtandao maalum unaokupa ubashiri wenye weledi mkubwa, na huduma hii ni bure kabisa bila malipo yoyote. Vilevile utakutana na viunganishi ambavyo vitakupeleka moja kwa moja kwenye tovuti nyingine nyingi ambazo utaweza kuweka ubashiri unaotaka.

 

Hivyo utatumia ubashiri wa tovuti hii kuweka dau kwenye tovuti nyingine za kubashiri kwa kutumia viunganisho vilivyopo kwenye mtandao huu.



Hapa unapata uhakika

wa kupata viunganisho (link) kuelekea kwenye tovuti bora za kuweka ubashiri na kushinda.

 

Jaribu leo na uwe mfano kwa wengine, kazi yako ni kuchagua ubashiri na kuweka dau unalotaka kupitia mtandao bora wa tafsiri za ubashiri wa michezo Tanzania  https://tanzaniatips.com/  utapata maelezo ya michezo ambayo inakupa uhakika wa kushinda.

 

Pia utapata nafasi ya kushinda zawadi ya jezi iliyowekwa sahihi na mchezaji wa Everton, Alex Iwobi. 

Bonyeza sasa Tanzania Tips uweze kujisajili na kujiunga na familia hii kubwa ya wapenda soka duniani na ushinde zawadi ya jezi halisi ya Alex Iwobi.

 







Hakuna maoni