Zinazobamba

Abdul Nondo ajitosa kuwania uongozi ACT-Wazalendo

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, leo Februari 21, 2020 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya ACT Wazalendo.

Amesema chama hicho lazima kipate mwenyekiti wa vijana ambaye ataweza kuunganisha nguvu ndani ya chama hicho, kuunganisha vijana kutoka vyama vingine ili kuwa pamoja na kuweza kustahimili mishale itayopigwa na chama tawala.

Hakuna maoni