Zinazobamba

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa tahadhari ya kuwepo upepo mkali na mawimbi makubwa baharini katika maeneo ya Mwambao wa Pwani Jumapili hii.