Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO),limekanusha taarifa ya gazeti la
Mwananchi iliyosema kuwa vifaa vya mitambo ya Kinyerezi hatarini kwa
kuuzwa.
Tanesco imekanusha taarifa hizo, kuwa si za kweli ni upotoshaji
kwa umma huku shirika hilo likidai linaendele na ulipaji kodi.