Zinazobamba

harakati ya Hizb ut-Tahrir Tanzania yafuturisha... yasisitiza Waislamu kupendana



Mwenyekiti wa kamati ya Mawasiliano Hizb ut-Tahrir Sheikh Musa Kileo akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya zoezi la kuwafutarisha wakazi wa Jiji la Daresalaam katika msikiti wa Raudhwa uliopo Kinondoni Mkwajuni Jijini Daresalaam. Futari hiyo Imeandaliwa na harakati ya Hizb ut-Tahrir Tanzania.

Mwakilishi wa Hizb ut-Tahrir Tanzania kwa vyombo vya habari Ndg Masoud Msellem akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo la kufutarisha.Msellem amesema dhamira ya futari hiyo ni kujenga upendo miongoni mwa Waislamu...

Waumini wa dini ya Kiislamu kutoka makundi mbalimbali, wakiwamo waandishi wa habari, wanasheria, Masheikh wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na
harakati ya Hizb ut-Tahrir Tanzania.



Sehemu ya futari hiyo...

Futari ikiingizwa ukumbini katika masjid Raudhwaa tayari kwa ajiri ya kufutari