HATIMAYE RAIS MAGUFULI ALEJEA NCHINI,TIZAMA PICHA ZAKE ,SOMA HAPO KUJUA
)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan va viongozi wengine mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa
Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka
kwenye ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1,
2017. Mbele yake ni Mkuu wa Itifaki Balozi Grace Martin.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akilsalimiana na baadhi ya wafayanyazi katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam alipowasili akitokea
Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi
za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia
wananchi mikono alipowasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia,
alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo
February 1, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Inspecta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika
uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu
wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt Juma Malewa baada ya kuwasili
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele
wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.
PICHA NA IKULUHAT