RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM GAMBARI MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, CHATO MKOANI GEITA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha Profesa
Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu
Buhari aliyefika Chato mkoani Geita kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya
mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa
Nigeria Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
barua yenye ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
uliowasilishwa na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa
Rais huyo wa Nigeria, Chato mkoani Geita.
Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akimshukuru Rais Dkt. John Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum
wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum
wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Profesa Ibrahim
Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada
ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU