Mwenyekiti Kamisheni ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Bahame Nyanduga akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Taasisi za
Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya
maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam .
Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi akisisitiza jambo wakati
akifungua mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia
kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii
leo jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad
akisisitiza jambo wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan
Mlawi kwenye mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia
kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii
leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi
za Kiraia wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi
ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi
(hayupo pichani) wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi
za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mdahalo mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi
za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu
wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akihojiwa na waandishi wa
habariwakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia
kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii
leo jijini Dar es Salaam.
TAASISI ZA SERIKALI, DINI NA ASASI ZA KIRAIA ZATAKIWA KUFUATA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by
Unknown
on
19:27:00
Rating:
5