Zinazobamba

MSIBA WA MAWAZIRI WASTAFU WAZIDI TOKEA,BAADA YA SAMWEL SITTA,LEO AFARIKI HUYU,SOMA HAPO KUJUA



Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu

Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.

Taarifa za msiba huu zinakuja ikiwa ni siku moja kupita baada ya Taifa kumpoteza Waziri wa zamani wa Uchukuzi,na Spika wa Bunge ,Samwel Sitta ambaye amefariki nchini Ujerumani alipokuwa na kwenye Matibabu ya Ugonjwa Tezi Dume