Hatimaye mwili wa bondia Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’ amepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kufariki usiku wa Oktoba, 31, eneo la Kimara baada ya kupigwa na watu na chanzo hasa cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika.
MO Blog ilihudhuria mazishi hayo na hapa tumekuwekea picha 30 tangu mwili wa Thomas Mashali ukiangwa katika viwanja vya Leaders Club na baadae makaburi ya Kinondoni. dsc_0002 dsc_0010
dsc_0018 dsc_0039 dsc_0043dsc_0044 dsc_0045 dsc_0057 dsc_0071 dsc_0078 dsc_0089 dsc_0094 dsc_0096 dsc_0098 dsc_0105dsc_0107 dsc_0110 dsc_0115 dsc_0120 dsc_0132 dsc_0144 dsc_0148 dsc_0154 dsc_0167 dsc_0171 dsc_0176 dsc_0178 dsc_0180 dsc_0183 dsc_0202