Shule ya Atlas Madale yafanya mahafali, Mkuu wa shule afafanua siri ya mafanikio.
![]() |
Sehemu ya wazazi waliohudhuria mahafali ya shule ya Atlas Madale mapema hii leo wakifuatilia kwa makini mahafali hayo. |
![]() |
Furaha ya mahafali!!!! Baadhi ya wanafunzi wakiweka pozi katika sherehe hizo za mahafali. |