TRA YAAZIMISHA SHAREHE ZA KODI JIJINI DAR,SOMA HAPO KUJUA
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Victor Kimaro (wa kwanza kushoto) akizugumza na
wadau mbalimbali (hawapo pichani) juu ya
uwezo wao wa kumudu ukusanyaji wa kodi
vizuri ili waweze kufanikisha vizuri malengo waliyo jiwekea mwaka huu.
Pia aliwashukuru (ITA) kwa kujitolea kutoa elimu kwa
wawekezaji wote wanaofika hapa nchini iliwaweze kulipa kodi wanapo wekekeza
hapa nchini. alizungumza hayo Siku ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya kodi
zilizofanyika kwenye ukumbi wa mikutano (TRA) Mwenge jijini Dar es
Salaam 2016
Salaam 2016
Mdau akifafanua jambo kwenye sherehe ya siku ya kodi
zilizofanyika kwenye
ukumbi wa mikutano (TRA) Mwenge jijini Dar es Salaam 2016.
ukumbi wa mikutano (TRA) Mwenge jijini Dar es Salaam 2016.
Sehemu ya wadau mbalimbali waliohudhuria hizo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Victor Kimaro kwenye sherehe ya siku ya kodi zilizofanyika kwenye ukumbi wa mikutano (TRA) Mwenge jijini Dar es Salaam 2016.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni