Zinazobamba

UCHUMI WA TANZANIA SASA HAUKAMATIKI...YA PILI KWA AFRIKA NA YA KWANZA KWA AFRIKA MASHARIKI..ZAIDI SOMA HAPA


Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya pili miongni mwa nchi zinazoendelea kwa kasi barani Afrika baada ya ukuaji wa pato lake kufikia wastani wa 6.9 huku nafasi ya kwanza ikienda kwa nchi ya Ivory coast ambayo imeandikisha wastani wa alama 8.5 katika ukuaji wa pato lake.


Kwa mujibu wa Taarifa ambazo zimetolewa na Benki ya Dunia, zinaonyesha wazi kuwa Tanzania zimeipiku nchi za ukanda wa Afrka Mashariki na hivyo kuoneka ile dhamira ya nchi kufikia uchumi wa kati kuna kila dalili ya kufika huko.

Baadhi ya Wabunge akiwemo mbunge kijana kutoka Jimbo la Manonga, Seif Gulamali hakusita kuonyesha furaha yake kwa nchi ya Tanzania kuendelea kuwaburuza majirani zetu katika suala zima la kimaendeleo hiyo ndivyo inavyotakiwa.

 Gulamali ameandika katika ukurasa wake wa Facebook juu ya kuguswa kwake na kasi ya Tanzania katika kuhakikisha kuwa nchi ya Tanznia inatimiza malengo yake.


"Uchumi wetu umeendelea kukua na ni wa Pili kwa Afrika na wa Kwanza kwa Afrika Mashariki hii ni sababu ya Maandalizi mazuri yaliyoachwa na yanayoendelezwa ili kufikia kuwa namba 1 siku si nyiingi zijazo tuendelee kufanya Kazi.Asante Jakaya Kikwete Rais Mstaafu kwa jitahada zako ni Matumiani yetu tutakuwa wa Kwanza chini ya Mh Rais Magufuli."Aliandika Gulamali

Kwa Mujibu wa Taarifa za Benki ya Dunia, nchi ya tatu ni Senegali huku ya nne ikifuatia Djibout.
 
Zaidi soma hapa:
 The fastest growing economies in Africa by GDP growth rate, as projected by IMF for 2016, are: Cote D’Ivoire (8.5%), Tanzania (6.9%), Senegal (6.6%), Djibouti (6.5%), Rwanda (6.3%), Kenya (6.0%), Mozambique (6.0%), Central African Republic (5.7%), Sierra Leone (5.3%) and Uganda (5.3%).
index
DR Congo expects a GDP growth of 4.9 percent, Cameroon; 4.9 percent, Ethiopia; 4.5 percent, Ghana; 4.5 percent and Republic of Congo; 4.4 percent.
Madagascar, Zambia and Chad are expected to see a growth of 4.1 percent, 3.4 percent, 3.2 percent respectively. Major oil exporters, Angola and Nigeria, hard hit by the slump in crude oil prices, are projected to see a growth 2.5 and 2.3 percent.
At 2.3 percent, Nigeria is expected to see its poorest GDP growth since the return of Democracy in 1999. This development has become a point of concern for the IMF, and the World Economic Forum (WEF), which would be having its meeting on Africa later in May.
According to the World Economic Forum, Africa’s positive economic outlook is under pressure with the growth rate expected to remain just under 5 per cent. Foreign direct investment flows are expected to continue to grow, although at a slower pace.

Maoni 1

Proud Tanzanian alisema ...

Kabala hatujaenda mbali nipe Source