Zinazobamba

SHIRIKA LA TPDC YAWAFUNZA WANAHABARI KUHUSU GESI NA MAFUTA,SOMA HAPO KUJUA





Pichani ni Mkurugenzi wa mkondo wa chini wa usambazaji wa Gesi kutoka ndani ya Shirika la Petrori na mafuta ya Gesi nchini TPDC,akitoa elimu kwenye semina iliyokuwatanisha wanahabari kutoka vyombo tofauti,semina hiyo yenye lengo la kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu uelewawa sekta ndogo ya mafuta na Gesi,semnina hiyo imefanyika leo Jijini Dar es Salaaam

  pichani ni wanahabari kutoka vyombo tofauti wakisilikiliza semina hiyo ya TPDC

Hakuna maoni