MBUNGE NASSARI KAMA ZITTO KABWE SHUHUDIA ALICHOKIFANYA JIMBONI KWAKE,SOMA HAPO KUJUA

MBUNGE NASSARI atoa Mil.45 kwenye
pesa ya gari la Mbunge, ambazo kila mbunge anapewa mil.90, lakini yeye katoa
mil.45 ili zisaidie kununulia dawa na vifaa tiba Hospitali ya Meru. Ameenda
mbali na kusema yeye atatembelea gari la kawaida
Hakuna maoni
Chapisha Maoni